Picha za kupendeza za pacha watatu warembo, Moipei Sisters
-Kikundi maarufu cha waimbaji cha Mopei quartet kimetambulika kwa kuwa na sauti nyororo na ya kuvutia
- Itakumbukwa kwamba kikundi hiki kiliwatumbuiza Wakenya mwaka kwa 2013 wakati wa sherehe za uapisho wa rais Uhuru Kenyatta
-Vile vile, kikundi hiki ni cha pacha watatu na dada mdogo ambao walikuwa watoto wa kwanza Kenya kuwa mabalozi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto ( UNICEF) wakiwa na umri wa miaka 10 na 12
Waimbaji maarufu ambao wanatambulika kama ' Moipei Quartet' wamevuma sana kote nchini na hata Marekani wanakoishi kwa ajili ya sauti zao nyororo na za kuvutia.
Habari Nyingine: Mambo 10 ambayo kila mwanamke anapaswa kuzingatia kabla ya kuolewa
Kama ilivyoripotiwa hapo awali, pacha hao watatu walihitimu katika somo la muziki kutoka katika chuo kikuu cha St Mary's, Antonio's kule Marekani Jumapili Mei 15.
TUKO.co.ke imebaini kuwa, Mary, Marta na Magdaline pamoja na dada yao mdogo wamerekodi kanda mpya ambayo wanatarajia kuzindua hivi karibuni.
Waimbaji hao wamevuma sana ikizingatiwa kuwa wanatoka katika familia moja na baba yao ndiye meneja wao katika miziki zao
Kutana na picha za kupendeza za kikundi hiki ambazo zimeandaliwa kwa ajili yako na TUKO.co.ke;
Habari Nyingine: Kutana na bintiye James Orengo baada ya kuhitimu shahada (picha)







Habari Nyingine: Mwanamke apigwa na butwaa baada ya kushikwa mkono na Rais Uhuru bila kutarajia (video)





Read: ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdibIFyhJBmp6KbmJZ6u62MpKypnZ6ZsrutjLOYZqiRmLWiedaaq5qspWLEor7EppmoZZ2ktrGxyGaqoqukmr%2B0esetpKU%3D